Njia za malipo
Njia za malipo
Imewekwa: 14 November, 2023

FAHAMU JINSI YA KUJUA ANKARA(BILI) YAKO ILI UWEZE KULIPIA
- Piga *152*00#
- Chagua Namba 6 (Maji)
- Chagua Namba 1 (Huduma za Maji za Pamoja)
- Chagua Namba 3 (Uliza Deni Lako)
Nb: Gharama Zitatumika.
- Pia Unaweza Kuangalia Ankara(Bili) yako kupitia 'application' ya GePG.