Auwsa yatoa Elimu mtaa wa bondeni kata ya Murieti
Auwsa yatoa Elimu mtaa wa bondeni kata ya Murieti
Imewekwa: 13 November, 2023

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA) wakitoa elimu katika mtaa wa Bondeni Kata ya Murieti katika kikao cha wanafufaika wa mradi wa maunganisho ya Majisafi kwa kaya za kipato cha chini mradi unaofadhiliwa na Wadau wa maendeleo kutoka nchini Uholanzi (Vei), lengo la kutoa elimu kwa wanufaika kufanya huduma kuwa endelevu katika mkutano huo mtaalamu alitoa elimu ya ulipaji wa ankara za maji kwa wakati , utinzaji wa miundo mbinu ya Maji pamoja na haki na wajibu wa mteja